CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 11
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 11.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo
Kwa maswali 11–15 jaza pengo katika kifungu kifuatacho.
Punde (11) ________ punde, walisikia kishindo (12) ________ katikati ya pori. Walikuwa (13) ________ basi la shirika la wanyama pori. Dereva Bwana Ali alishuka na kukagua basi.
“Gurudumu la (14) ________ limetoboka,” aliwaambia. Walishtuka kwa uwoga. Askari pori alifanya juhudi hadi basi (15) ________ kuwachukua.
11. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 11.
- Akwa
- Bni
- Cna
- Dsi
Answer
A. kwa
Punde kwa punde.