CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 17
Ni kikundi kipi hakikushiriki riadha?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma jedwali lifuatalo kisha ujibu maswali 16–19.
Shule ya msingi ya Juhudi huwa na siku tatu za michezo kila juma.
Wanafunzi wa Gredi ya Tano wamegawanywa katika vikundi vinne kama ifuatavyo.
| Vikundi | Jumanne | Jumatano | Alhamisi |
|---|---|---|---|
| Kenya | Kandanda | Netiboli | Riadha |
| Longonot | Riadha | Uogeleaji | Kandanda |
| Marsabit | Netiboli | Kandanda | Uogeleaji |
| Kulal | Uogeleaji | Riadha | Netiboli |
18. Ni kikundi kipi hakikushiriki riadha?
- AKulal
- BKenya
- CLongonot
- DMarsabit
Answer
D. Marsabit
Marsabit hucheza netiboli, kandanda na uogeleaji tu.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kila mchezo unachezwa mara ngapi kwa kila juma?Question 18
- Sherehe inayofanyiwa mtu aliyefuzu chuo kikuu inaitwaje?Question 19
- Ipi ni nomino ya pekee?Question 20
- Wingi wa neno manukato niQuestion 21
- Pambo lipi huvaliwa kwenye pua?Question 22
- Andika sentensi hii kwa wingi: Simu itatumiwa kutuma picha.Question 23