CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 23
Andika sentensi hii kwa wingi: Simu itatumiwa kutuma picha.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
27. Andika sentensi hii kwa wingi:
Simu itatumiwa kutuma picha.
- ASimu itatumiwa kutuma picha
- BSimu litatumiwa kutuma picha
- CSimu zitatumiwa kutuma picha
- DSiku yatatumiwa kutuma picha
Answer
C. Simu zitatumiwa kutuma picha
Simu (ngeli ya I-ZI): simu zitatumiwa.