CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 1
Mazungumzo haya ni kati ya nani?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.
Baba: Lala salama.
Mtoto: Asante baba, naomba unisomee hadithi kabla nilale.
Baba: Sawa, enda katika chumba chako.
Mtoto: Nimekuwa nikingoja kusikia hadithi ya kusisimua.
Baba: Jifunike vizuri ili nianze kusoma.
Mtoto: (Anajifunika na kulala vizuri)
Baba: (Anasoma) Hapo zamani za kale katika kijiji cha… Umeshalala. Alamsiki.
(Hakuna jibu. Baba anaondoka.)

1. Mazungumzo haya ni kati ya nani?
- AMama na mwana
- BMtoto na rafiki yake
- CMtoto na baba yake
- DMama na baba
Answer
C. Mtoto na baba yake
Wanaozungumza ni Baba na Mtoto.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni nani aliyekuwa anaenda kulala?Question 2
- Neno kusisimua limetumiwa kumaanisha nini?Question 3
- Jibu la “Alamsiki” ni lipi?Question 4
- Kwa nini baba hakumaliza kumsomea mtoto hadithi?Question 5
- Neno alfajiri limetumiwa kumaanisha nini?Question 6
- Kati ya maneno haya, lipi linaweza kutumiwa badala ya neno mja?Question 7