naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 4

Jibu la “Alamsiki” ni lipi?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.
Baba: Lala salama.
Mtoto: Asante baba, naomba unisomee hadithi kabla nilale.
Baba: Sawa, enda katika chumba chako.
Mtoto: Nimekuwa nikingoja kusikia hadithi ya kusisimua.
Baba: Jifunike vizuri ili nianze kusoma.
Mtoto: (Anajifunika na kulala vizuri)
Baba: (Anasoma) Hapo zamani za kale katika kijiji cha… Umeshalala. Alamsiki.
(Hakuna jibu. Baba anaondoka.)

Baba ameketi kando ya kitanda akimsomea mtoto wake kitabu

4. Jibu la “Alamsiki” ni lipi?

  1. APia nawe
  2. BAlamsiki
  3. CBinuru
  4. DAsante

Answer

C. Binuru

Mtu akiagwa usiku kwa "Alamsiki" hujibu "Binuru".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test