naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 7

Kati ya maneno haya, lipi linaweza kutumiwa badala ya neno mja?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 6–10.
Mtu huamka alfajiri ili kuanza shughuli za siku mpya. Mja anayeamka mapema huweza kupanga mambo yake kulingana na saa. Pia huweza kutekeleza wajibu wake ipasavyo bila wasiwasi. Shughuli hizi ndizo hujenga taifa.
Baadhi ya kazi zinazojenga taifa letu ni kama vile ualimu, ukarani, udereva, ukulima na biashara. Kuna wafanyakazi wanaoingia kazini macheo na kutoka machweo. Wakati wa adhuhuri kila mmoja hutafuta chamcha. Baadhi yao hula sima, wali, nyama ya kuku, sukuma wiki na maharagwe. Kuna wafanyakazi wanaopenda kunywa chai wakati wa alasiri kisha kuelekea nyumbani jioni.

7. Kati ya maneno haya, lipi linaweza kutumiwa badala ya neno mja?

  1. AMtu
  2. BKijana
  3. CMzee
  4. DMsafiri

Answer

A. Mtu

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test