CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 25
Maneno haya ni “safari njema”
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maagano
29. Maneno haya ni “safari njema”
- AMajibu
- BMaamkizi
- CMaagano
- DMawazo
Answer
C. Maagano
"Safari njema" husemwa mtu anapoagwa.