CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 14
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Pengo
Kwa maswali 11–15 jaza pengo katika kifungu kifuatacho.
Punde (11) ________ punde, walisikia kishindo (12) ________ katikati ya pori. Walikuwa (13) ________ basi la shirika la wanyama pori. Dereva Bwana Ali alishuka na kukagua basi.
“Gurudumu la (14) ________ limetoboka,” aliwaambia. Walishtuka kwa uwoga. Askari pori alifanya juhudi hadi basi (15) ________ kuwachukua.
15. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.
- Aikaja
- Blikaja
- Ckuja
- Dzikaja
Answer
B. likaja
Basi (ngeli ya LI-YA): basi likaja.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni kikundi kipi hakikushiriki kandanda?Question 15
- Ni kikundi kipi hakikushiriki uogeleaji?Question 16
- Ni kikundi kipi hakikushiriki riadha?Question 17
- Kila mchezo unachezwa mara ngapi kwa kila juma?Question 18
- Sherehe inayofanyiwa mtu aliyefuzu chuo kikuu inaitwaje?Question 19
- Ipi ni nomino ya pekee?Question 20