CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
(16)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Chagua jibu mwafaka kujaza mapengo katika kifungu kifuatacho.
Mama au ukipenda __16__ ni mzazi wa __17__ katika familia. Yeye ndiye mara nyingi hujihusisha na __18__ wa nyumbani. Mama huhakikisha __19__ jikoni vimeoshwa na __20__ pia zimeoshwa.
16. (16)
- Anyanya
- Bbaba
- Cnina
- Dshangazi
Answer
C. nina
Nina = mama.