CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Ni nomino ipi kati ya hizi hupatikana katika ngeli ya U-I?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
21. Ni nomino ipi kati ya hizi hupatikana katika ngeli ya U-I?
- Amti
- Bmiwani
- Cuji
- Dugali
Answer
A. mti
Mti umeanguka, miti imeanguka: U-I.