CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Kitenzi pika katika kauli ya kutendwa ni
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
26. Kitenzi pika katika kauli ya kutendwa ni
- Apikiwa
- Bpikwa
- Cpikika
- Dpikua
Answer
B. pikwa
Kutendwa: pikwa.