CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Andika wingi wa: Mkeka umeanikwa.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
22. Andika wingi wa: Mkeka umeanikwa.
- AMkeka umeanuliwa.
- BMikeka umeanikwa.
- CMkeka imeanikwa.
- DMikeka imeanikwa.
Answer
D. Mikeka imeanikwa.
U-I: mikeka imeanikwa.