CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Umoja wa Vyakula vimeiva ni
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
24. Umoja wa Vyakula vimeiva ni
- AVyakula vimeiva.
- BVyakula kimeiva.
- CChakula kimeiva
- DChakula vimeiva.
Answer
C. Chakula kimeiva
KI-VI: chakula kimeiva.