CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 7
Soma hadithi kisha ujibu swali: Nyani ana watoto wangapi?
From Kiswahili — Revision 5 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Watoto wa nyani
Watoto wa nyani ni wazuri. Wao ni wawili. Wanaitwa Heko na Haki. Wanapenda kucheza mpira wa kikapu. Wao hufurahia sana. Pia wana afya nzuri. Wanajulikana kuwa hodari kijijini.
Watoto wa nyani ni wazuri. Wao ni wawili. Wanaitwa Heko na Haki. Wanapenda kucheza mpira wa kikapu. Wao hufurahia sana. Pia wana afya nzuri. Wanajulikana kuwa hodari kijijini.
Soma hadithi kisha ujibu swali: Nyani ana watoto wangapi?
Answer
wawili
Kifungu kinasema “Wao ni wawili.” Nyani ana watoto wawili.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la kwanza (b).Question 8
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la pili (c).Question 9
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ___.Question 10
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Wakicheza, wao ___ sana.Question 11
- Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita.…Question 12
- Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita.…Question 13