CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam: Revision 5 Kiswahili Activities
Kiswahili — Revision 5 Kiswahili Activities · Revision 5 Kiswahili Activities · 38 questions
Topics: Darasani, Mwili Wangu, Mimi na Wenzangu, Familia, Tarakimu, Siku za Wiki.
All 38 questions with answers
- Question 1: Mwalimu: “Darasa ni nini?” Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.Answer: Darasa ni chumba tunachosomea.
- Question 2: Mwalimu: “Mwalimu wako wa darasa anaitwa nani?” Jibu kwa sauti.Answer: Mwalimu wangu wa darasa anaitwa (jina).
- Question 3: Mwalimu: “Taja vifaa viwili vya darasani.” Jibu kwa sauti.Answer: Dawati na kiti. (Mifano mingine: ubao, chaki, kitabu, daftari, kalamu, meza, kifutio.)
- Question 4: Mwalimu: “Mwalimu hutumia nini kuandikia ubaoni?” Jibu kwa sauti.Answer: Mwalimu hutumia chaki.
- Question 5: Mwalimu: “Nitajie marafiki wako walio katika darasa lenu.” Jibu kwa sauti.Answer: Marafiki zangu ni (majina ya wanafunzi wenzangu).
- Question 6: Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Soma hadithi polepole, sentensi moja baada ya nyingine, kwa sauti iliyo wazi. Kila neno ulilosoma sawasawa…
- Question 7: Soma hadithi kisha ujibu swali: Nyani ana watoto wangapi?Answer: wawili
- Question 8: Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la kwanza (b).Answer: Heko
- Question 9: Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la pili (c).Answer: Haki
- Question 10: Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ___.Answer: A. kikapu
- Question 11: Soma hadithi kisha ujibu swali: Wakicheza, wao ___ sana.Answer: B. hufurahia
- Question 12: Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita. Andika neno la kwanza…Answer: taa / taka / sita
- Question 13: Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita. Andika neno la pili…Answer: taa / taka / sita
- Question 14: Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita. Andika neno la tatu…Answer: taa / taka / sita
- Question 15: Andika neno hili kwa herufi kubwa: mimiAnswer: MIMI
- Question 16: Andika neno hili kwa herufi kubwa: chezaAnswer: CHEZA
- Question 17: Andika neno hili kwa herufi kubwa: rukaAnswer: RUKA
- Question 18: Andika neno hili kwa herufi kubwa: tausiAnswer: TAUSI
- Question 19: Linganisha umoja na wingi wa maneno haya. Gusa neno upande wa kushoto, kisha gusa wingi wake upande wa kulia.Answer: Kalamu - kalamu; Dawati - madawati; Kitabu - vitabu; Mkono - mikono
- Question 20: Andika jina la picha hii.Answer: rula
- Question 21: Andika jina la picha hii.Answer: meza
- Question 22: Andika jina la picha hii.Answer: kikokotoo
- Question 23: Andika jina la picha hii.Answer: miwani
- Question 24: Andika jina la picha hii.Answer: chupa
- Question 25: Tenganisha silabi. Mfano: Soma → so-ma Ruka →Answer: ru-ka
- Question 26: Tenganisha silabi. Mfano: Soma → so-ma Simba →Answer: si-mba
- Question 27: Tenganisha silabi. Mfano: Soma → so-ma Kalamu →Answer: ka-la-mu
- Question 28: Andika kwa maneno: 6 →Answer: sita
- Question 29: Andika kwa maneno: 4 →Answer: nne
- Question 30: Andika kwa maneno: 8 →Answer: nane
- Question 31: Tumia “Mimi” au “Sisi” kujaza nafasi: __ ninasoma.Answer: A. Mimi
- Question 32: Tumia “Mimi” au “Sisi” kujaza nafasi: __ tunaimba.Answer: B. Sisi
- Question 33: Tumia “Mimi” au “Sisi” kujaza nafasi: __ ni msichana.Answer: A. Mimi
- Question 34: Andika neno utakalosikia.Answer: mama
- Question 35: Andika neno utakalosikia.Answer: kofia
- Question 36: Andika neno utakalosikia.Answer: ndizi
- Question 37: Andika neno utakalosikia.Answer: jiko
- Question 38: Andika neno utakalosikia.Answer: kiatu