naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 10

Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ___.

From Kiswahili — Revision 5 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Watoto wa nyani

Watoto wa nyani ni wazuri. Wao ni wawili. Wanaitwa Heko na Haki. Wanapenda kucheza mpira wa kikapu. Wao hufurahia sana. Pia wana afya nzuri. Wanajulikana kuwa hodari kijijini.

Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ______.

  1. Akikapu
  2. Bsoka

Answer

A. kikapu

Kifungu kinasema “Wanapenda kucheza mpira wa kikapu.” Jibu ni “kikapu”.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test