naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 9

Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la pili (c).

From Kiswahili — Revision 5 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Watoto wa nyani

Watoto wa nyani ni wazuri. Wao ni wawili. Wanaitwa Heko na Haki. Wanapenda kucheza mpira wa kikapu. Wao hufurahia sana. Pia wana afya nzuri. Wanajulikana kuwa hodari kijijini.

Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ______ na (c) ______.
Andika jina la pili (c).

Answer

Haki

Kifungu kinasema “Wanaitwa Heko na Haki.” Jina la pili ni “Haki”.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test