CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 6
Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 5 Kiswahili Activities · 10 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)
Mwalimu na machungwa
Jana mwalimu aliingia darasani. Akapata wanafunzi watano. Aliwapa machungwa. Mtoto mmoja hakupata chungwa. Mwalimu alimpatia embe. Watoto walifurahi sana.
Jana mwalimu aliingia darasani. Akapata wanafunzi watano. Aliwapa machungwa. Mtoto mmoja hakupata chungwa. Mwalimu alimpatia embe. Watoto walifurahi sana.
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Soma hadithi polepole, sentensi moja baada ya nyingine, kwa sauti iliyo wazi. Kila neno ulilosoma sawasawa linakupa alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Nyani ana watoto wangapi?Question 7
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la kwanza (b).Question 8
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la pili (c).Question 9
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ___.Question 10
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Wakicheza, wao ___ sana.Question 11
- Chagua maneno yenye sauti /t/ kwenye nyungu. Maneno yaliyo kwenye nyungu: kaka, taa, taka, paka, kaa, ruka, sita.…Question 12