naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 33

Soma hadithi kisha ujibu swali: Katana anapenda mchezo wa ___.

From Kiswahili — Revision 4 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Karembo na Katana

Karembo na Katana ni marafiki. Wao huishi katika kijiji cha Mwema. Karembo anapenda somo la Kiingereza. Katana anapenda mchezo wa kandanda. Naye Karembo anapenda kuimba. Katana anapenda somo la hisabati.

Soma hadithi kisha ujibu swali: Katana anapenda mchezo wa ______.

Answer

kandanda

Kifungu kinasema “Katana anapenda mchezo wa kandanda.” Jibu ni “kandanda”.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test