CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 35
Soma hadithi kisha ujibu swali: Wao huishi katika kijiji cha ___.
From Kiswahili — Revision 4 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Karembo na Katana
Karembo na Katana ni marafiki. Wao huishi katika kijiji cha Mwema. Karembo anapenda somo la Kiingereza. Katana anapenda mchezo wa kandanda. Naye Karembo anapenda kuimba. Katana anapenda somo la hisabati.

Soma hadithi kisha ujibu swali: Wao huishi katika kijiji cha ______.
Answer
Mwema
Kifungu kinasema “Wao huishi katika kijiji cha Mwema.” Jibu ni “Mwema”.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma maneno haya kwa sauti, moja baada ya jingine.Question 36
- Soma sentensi hizi kwa sauti.Question 37
- Mwalimu: “Hujambo?” Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.Question 1
- Mwalimu: “Jina lako ni nani?” Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: “Leo ni siku gani?” Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: “Shule yenu inaitwa aje?” Jibu kwa sauti.Question 4