CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 37
Soma sentensi hizi kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 4 Kiswahili Activities · 3 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)
Sentensi za kusoma
Tunda hili ni papai.
Ndege hupita angani.
Jua linawaka.
Mimi napenda maziwa.
Tunda hili ni papai.
Ndege hupita angani.
Jua linawaka.
Mimi napenda maziwa.
Soma sentensi hizi kwa sauti.
Answer
Soma sentensi moja baada ya nyingine. Simama kidogo mwishoni mwa kila sentensi kisha uendelee.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu: “Hujambo?” Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.Question 1
- Mwalimu: “Jina lako ni nani?” Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: “Leo ni siku gani?” Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: “Shule yenu inaitwa aje?” Jibu kwa sauti.Question 4
- Mwalimu: “Uko na umri wa miaka mingapi?” Jibu kwa sauti.Question 5
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 6