CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 2
Mwalimu: “Jina lako ni nani?” Jibu kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 4 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Darasani, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu: “Jina lako ni nani?”
Jibu kwa sauti.
Answer
Jina langu ni (jina lako). / Naitwa (jina lako).
Mwalimu akikuuliza “Jina lako ni nani?”, sema jina lako. Unaweza kusema “Jina langu ni …” au “Naitwa …”.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu: “Leo ni siku gani?” Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: “Shule yenu inaitwa aje?” Jibu kwa sauti.Question 4
- Mwalimu: “Uko na umri wa miaka mingapi?” Jibu kwa sauti.Question 5
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 6
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 7
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 8