CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 1
Mwalimu: “Hujambo?” Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.
From Kiswahili — Revision 4 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Darasani, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu: “Hujambo?”
Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.
Answer
Sijambo.
Mtu akikuambia “Hujambo?”, jibu ni “Sijambo.” Ni njia nzuri ya kuitikia maamkuzi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu: “Jina lako ni nani?” Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: “Leo ni siku gani?” Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: “Shule yenu inaitwa aje?” Jibu kwa sauti.Question 4
- Mwalimu: “Uko na umri wa miaka mingapi?” Jibu kwa sauti.Question 5
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 6
- Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Question 7