CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 4
d) Fafanua sifa za wahusika uliotaja. (Al. 2) e) Kwa kutoa mfano, eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili. ZOEZI IV_: TAMTHILIA (Alama 10) m ehem i a…
From Test 102 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi
d) Fafanua sifa za wahusika uliotaja.
(Al. 2)
e) Kwa kutoa mfano, eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili.
ZOEZI IV_: TAMTHILIA (Alama 10)
m ehem i a ao tam il•
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Mishi:
Ni nani? (Mlango unabishwa tena. Mara hii anajibu kwa woga.) Ninauliza, ni nani?
(Hakunajibu. Badala yake unabishwa tena. Anaonyesha woga mkubwa.) Kama
husemi nitapiga kamsa. Watu wakitoka watakuadhibu. (Kinasikika kicheko kirefu
kutoka nje)
Mabula: Fungua!
Mishi:
ivyo?
Mabula:
(Anaingia huku anaonyesha dalili za kulewa.) Kwani kuna nini?
Mishi:
Umenitisha! Karibu roho initoke!
Mabula:
Si wewe uliyeniambia kuwa siwezi kukutisha? Sasa ona, jambo dogo limekutoa
kamasi jembamba.
Mishi:
Umenishtua sana!
Mabula:
Sasa umeona kuwa bado ninaweza kukushtua. Nilitaka tu ufahamu hivyo. (Huku
anaketi.) otherwise kikao cha wazee kimekwenda vizuri.
a)
Taja na ueleze mbinu mbili za lugha zilizotumika katika kifungu hiki Cha tamthilia.
(Al. 4)
b)
Tambua maudhui mawili yanayojitokeza katika kifungu hiki.?
(Al. 2)
c)
Eleza kwa kutoa mifano mandhari yanayojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia.
(Al. 2)
d)
Tambua wahusika wawili katika dondoo hili.
(Al. 2)
ZOEZI LA u: USHAIRI (Alama. 5)
5.
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswqli.
Mi hapa natangazia, kila mmoja sikia,
Siku hizi twangamia, kutofuata sheria,
Barabarani twalia, kupoteza familia,
Answer
Kuna semi na kuchanganya ndimi. Sifa inayojitokeza ni uwoga. Mandhari ni nyumbani. Wahusika ni Mabula na Mishi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mi hapa natangazia, kila mmoja sikia, Siku hizi twangamia, kutofuata sheria, Barabarani twalia, kupoteza familia,…Question 5
- (Insha na Utangulizi wa Fasihi) Jina Nambari ya usajili Shule Tarehe Maagizo: Karatasi hii ina sehemu mbili na B.…Question 1
- SEHEMU B: (Alama 35) ZOEZI LA 11: FASIH! SIMULIZI (Alama10) 2. Soma taqrifa ifuqtayo kishq ujibu maswali. Hapo zamani…Question 2
- "Vipi Boss? Uliweza kukitazama kile kinyang'anyiro cha soka cha saa nne usiku? Mimi sikuweza. Mvua ya ghafla…Question 3