CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 6 Kiswahili Karatasi 2
Test 102 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 2 · Revision 6 Kiswahili Karatasi 2 · 5 questions
Topics: Kuandika, Fasihi, Kusoma.
All 5 questions with answers
- Question 1: (Insha na Utangulizi wa Fasihi) Jina Nambari ya usajili Shule Tarehe Maagizo: Karatasi hii ina sehemu mbili na B. MUDA:SAA 1 DAK 40 SEHEMU…Answer: Waziri wa Elimu, Mkuu wa Shule, walimu, wazazi, wageni waalikwa na wanafunzi wenzangu, hamjambo? Nina furaha…
- Question 2: SEHEMU B: (Alama 35) ZOEZI LA 11: FASIH! SIMULIZI (Alama10) 2. Soma taqrifa ifuqtayo kishq ujibu maswali. Hapo zamani za kale, Ngamia…Answer: Wahusika ni Ngamia na Fisi. Ngamia alikuwa akienda safari ndefu ya jangwani. Alitaka kunywa maji ili…
- Question 3: "Vipi Boss? Uliweza kukitazama kile kinyang'anyiro cha soka cha saa nne usiku? Mimi sikuweza. Mvua ya ghafla iliyonyesha Jana ilisababisha…Answer: Semi ni 'salimu amri' na kuchanganya ndimi ni matumizi ya neno 'boss'. Mandhari ni nyumbani. Wahusika ni…
- Question 4: d) Fafanua sifa za wahusika uliotaja. (Al. 2) e) Kwa kutoa mfano, eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili. ZOEZI IV_: TAMTHILIA…Answer: Kuna semi na kuchanganya ndimi. Sifa inayojitokeza ni uwoga. Mandhari ni nyumbani. Wahusika ni Mabula na…
- Question 5: Mi hapa natangazia, kila mmoja sikia, Siku hizi twangamia, kutofuata sheria, Barabarani twalia, kupoteza familia, Tuzingatie kanuni, za…Answer: Maudhui ni uzingativu wa sheria za barabara. Shairi linaelimisha watu wawe makini wanapotumia barabara. Lina…