naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 2

SEHEMU B: (Alama 35) ZOEZI LA 11: FASIH! SIMULIZI (Alama10) 2. Soma taqrifa ifuqtayo kishq ujibu maswali. Hapo zamani za kale, Ngamia hakuwa na nundu. Siku…

From Test 102 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi

SEHEMU B:
(Alama 35)
ZOEZI LA 11: FASIH! SIMULIZI (Alama10)
2. Soma taqrifa ifuqtayo kishq ujibu maswali.
Hapo zamani za kale, Ngamia hakuwa na nundu. Siku moja, Ngamia alipanga safari
ndefu ya jangwani. Alitüka kuwatembelea jamaa zake walioishi huko. Ngamia alionelea ni
bora abebe maji ya kutosha. Alikwenda dukani kwa fisi kununua nyungu ya kubebea maji.
"Nikuuzie nyungu gani?" Fisi alimuuliza.
"Nipe hii kubwa zaidi ya zote," Ngamia alisema bila kumakinika.
"Haya shika. Bei yake ni rahisi tu. Ni kama kupewa bure." Fisi alisema huku
akichekacheka.
Ngamia alilipa nyungu kwa njia ya rununu na kuanza safari yake. Njiani, alichota
maji akajaza nyungu yake na kujitwika mgongoni. Alipanda mlima na kushuka mabonde
hadi akafika mahali tambarare pa kupumzika. Alitaka kukqtQkiu. Ngamia alijaribu kutua
nyungu yake. Alishangaa kuwa nyungu ilikuwa imemganda mgongoni kama gundi.
Alitamani kuchukua jiwe aigonge nyungu imtoke mgongoni lakini akakumbuka kuwa maji
yote yangemwagika.
Alikata shauri kurudi dukani kwa fisi kumlalamikia. "Nyungu uliyoniuzia imeniganda
mgongoni," alisema Ngamia kwa huzuni.
"Sikudhani ungeitundika mgongoni. Nilifikiri kuwa ungeishika mkononi," Fisi alisema
huku akitabasamu.
"Chukua nyungu yako, unipe hela zangu!" Ngamia alifoka.
"Hujui majukumu yako kama mnunuzi? Bidhaa zikiuzwa hazirejeshwi. Ulikuwa na
uhuru wa kuchagua bidhaa bora zaidi. Haraka yako ilikusaliti," Fisi alimwambia Ngamia.
Ngamia alitanabahi kuwa kama mnunuzi alikuwa na jukumu la kukagua ubora wa
bidhaa kabla ya kuinunua. Mambo aliyomkumbusha Fisi yalikuwa ukweli mchungu. Maji
yqkmwggj—g-hqyqzole-ki. Ngamia aliyakubali matokeo ya matendo yake Shingo upande•
Nyungu iligeuka kuwa nundu. Tangu hapo, ngamia ana nundu mgongoni.
a) Taja wahusika wawili katika hadithi hii.
Gredi 9 Kiswahili2

(Al. 2)
c) Eleza maana ya kauli kukata kiu kama ilivyotumika katika hadithi hii?
(Al. 2)
d) Ni kwa nini ngamia aliamua kurudisha nyungu dukani alikonunua?
(Al. 2)
e) Methali, "maji yakimwagika hayazoleki" ina maana kuwa
(Al. 2)
ZOEZI LA III: NOVELA (Alama 10)
3. Soma sehemu ifuqtqyo ya novela kisha ujibu maswqli.
"Vipi Boss? Uliweza kukitazama kile kinyang'anyiro cha soka cha saa nne usiku?
Mimi sikuweza. Mvua ya ghafla iliyonyesha Jana ilisababisha msongamano wa ajabu wa

Answer

Wahusika ni Ngamia na Fisi. Ngamia alikuwa akienda safari ndefu ya jangwani. Alitaka kunywa maji ili kumaliza kiu. Nyungu ilimgwanda mgongoni. Ilikuwa vigumu kubadili hali kwa sababu muda ulikuwa umepita.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test