CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 3
"Vipi Boss? Uliweza kukitazama kile kinyang'anyiro cha soka cha saa nne usiku? Mimi sikuweza. Mvua ya ghafla iliyonyesha Jana ilisababisha msongamano wa ajabu…
From Test 102 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
"Vipi Boss? Uliweza kukitazama kile kinyang'anyiro cha soka cha saa nne usiku?
Mimi sikuweza. Mvua ya ghafla iliyonyesha Jana ilisababisha msongamano wa ajabu wa
magari barabarani. Nilifika kipenga cha mwisho kikipulizwa. Hata hivyo, inaonekana
tuliwabwaga akina Chale chini," Sudi alisema kwa ucheshi ili kumchangamsha Chale
ambaye alionekana kuwa na uchungu na mawazo mengi. Chale alitoa kicheko hafifu.
"Amini usiamini, hata mimi sikutazama. Ulipoondoka tu, sijui Vipi lakini uchungu
wangu ulipungua. Usingizi wa ghalfa ulinivamia, nami nikasalimu amri. Nilizinduliwa na
sauti za timu yako ikishangilia ushindi," Chale alisema huku alimtazama Sudi.
a) Eleza fani moja ya lugha iliyotumika katika dondoo hii.
(Ala. 2)
b) Tambua mandhari ambamo mazungumzo yanafanyika?
(Ala. 2)
c) Taja wahusika wawili katika dondoo hili
(Ala. 2)
d) Fafanua sifa za wahusika uliotaja.
(Al. 2)
Answer
Semi ni 'salimu amri' na kuchanganya ndimi ni matumizi ya neno 'boss'. Mandhari ni nyumbani. Wahusika ni Chale na Sudi. Shughuli zinazotajwa ni michezo ya soka na sherehe, kama inavyoonyeshwa na sauti za timu iliyokuwa ikishangilia.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- d) Fafanua sifa za wahusika uliotaja. (Al. 2) e) Kwa kutoa mfano, eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili.…Question 4
- Mi hapa natangazia, kila mmoja sikia, Siku hizi twangamia, kutofuata sheria, Barabarani twalia, kupoteza familia,…Question 5
- (Insha na Utangulizi wa Fasihi) Jina Nambari ya usajili Shule Tarehe Maagizo: Karatasi hii ina sehemu mbili na B.…Question 1
- SEHEMU B: (Alama 35) ZOEZI LA 11: FASIH! SIMULIZI (Alama10) 2. Soma taqrifa ifuqtayo kishq ujibu maswali. Hapo zamani…Question 2