CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 5
Soma $hairi lifuatalo Kisha Kiibu mgswgli Uchomaji wa makaa, huharibu mazingira, Husababisha mitaa, ikakumbwa namadhara, Yakang' olewa mapaa, nyumba zisizo…
From Test 96 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 2 · 5 marks · Topic: Fasihi, Ushairi
Soma $hairi lifuatalo Kisha Kiibu mgswgli
Uchomaji wa makaa, huharibu mazingira,
Husababisha mitaa, ikakumbwa namadhara,
Yakang' olewa mapaa, nyumba zisizo imara
Upepo ukisambaa, na kuvuma barabara.
Kujenga bila kujali, na kiholela kuchanga,
Ikawa kila pahali, mifugo kote hutanga
Na shughuli mbalimbali, zinazosombwa mchanga
Nijambo la kujadili, na kuanza kujipanga.
Ardhi pasi mizizi, ya miti hata nyasi,
Hawa bila kizuizi, mchmga huwa mwepesi,
Kuuhifadhi huwezi, kwa vua na kusikasi
Kwa sababu kama hizi, mchanga humomonyoka.
17.
Shairi hili ni la aina gani? Eleza. (alama 1)
18.
Tambua vina vya kati na vya mwisho katika ubeti wa kwanza (alama 1)
Eleza ujumbe katika shairi hili (alama 2)
19.
20.
Je, ubeti wa kwanza una mizäni mingapi? (alama 1)
Answer
Shairi ni la tarbia kwa kuwa lina mishororo minne katika kila ubeti. Vina ni -li na -nga. Ujumbe ni tusichome makaa bali tutunze mazingira. Shairi lina mizani kumi na sita kwa kila mshororo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- KARATASI YA PILI GREDI 9 - 2026 Muda: Saa 1 Dakika 45 JINALA NAMBARI YA MTAHINIWA MTAHINIWA JINA LA SHULE NAMBARI YA…Question 1
- A FASIHI 10) $omq åqdithi ruqtqyQ Kishq rtqswqli. Hapo zamani za kale, mjusi ndiye aliyekuwa mnyama mkubwa kuliko…Question 2
- Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia sanaa ya uchoraji kama…Question 3
- Mabula: Si utani mwenzangu. (Kimya) Baada.ya kufikiria sana nimeona kuwa lisilo budi hutendwa. Heri nikusaidie…Question 4