CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 2
A FASIHI 10) $omq åqdithi ruqtqyQ Kishq rtqswqli. Hapo zamani za kale, mjusi ndiye aliyekuwa mnyama mkubwa kuliko wote. Kimo chake kilitisha. Wanyama wengine…
From Test 96 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
A FASIHI 10)
$omq åqdithi ruqtqyQ Kishq rtqswqli.
Hapo zamani za kale, mjusi ndiye aliyekuwa mnyama mkubwa kuliko wote. Kimo chake kilitisha.
Wanyama wengine kama vile papa na nyangumi walimwogopa sana. Jambo lililoudhi ni kuwa mjusi
mwenyewe alitumia nguvu mke kuwadhulumu wengine badala ya kuhudumiajamii ya wanyama.
Siku moja, mjusi aliamka akiwa na hasira kama za mkizi. Alipita kote msituni akiwadhulumu Wanyama
wote aliokutana nao. Alimwinua mzee kobe akamgongesha kwenye miamba. Gamba lake lilipasuka
vigaevigae. Fisi aliyejaribu kumtetea kobe naye alipigwa teke akapaa kama tiara na kuanguka chini pu!
Miguu ya fisi ikavunjika.
Mfalme Simba alipofikiwa na habari hiyo alihuzunika sana. Aliamua kuwatuma wajumbe wake kwa
Mulungu ili kumshtaki mjusi kwa dhuluma zake. Sungura na nyani ndiö waliotumwa. Walifunga safari ya
kwenda angani alikoishi Mulungu.
Walipofika angani walilakiwa vyema. Mulungu aliwasikiliza kwa makini. Alijuza kuwa anafahamu
yote waliyomwambia kwani aliyashuhudia akiwa kwenye kiti chake cha enzi. Aliwaambia warudi na
kuwapasha wenzao ripoti yake kwamba dhuluma za mjusi zilikuwa zimefika mwisho.
Sungura na nyani waliporudi, mjusi hakuonekana popote. Kurnbe Mulungu alimpunguzia kimo akawa
mdogo kuliko wanyama wengine. Halikadhalika, Mulungu alitoa onyo kuwa mnyama yeyote asimdhulumu
mwenzake.
Tangu wakati huo, mjusi akiwaona wanyama wengine hujificha chini ya majabali na miamba. Hofu
yake ikiwa huenda wenzake wakalipiza kisasi.
1.
Mighani ni hadithi ambayo wahusika ni mashujaa. Bainisha kipera hiki cha hadithi. (alama 2)
2.
Hadithi za aina hii huwa na sifa mbalimbali. Taja sifa mbili za hadithi hii. (alama 2)
3.
Simba ni mhusika mmoja katika hadithi hii. Taja wahusika wengine wawili katika hadithi hii.
(alama 2)
Dhuluma ni mojawapo ya maudhui katika hadithi hii. Toa mfano mmoja wa dhuluma inayojitokeza
4.
katika hadithi hii. (alama 1)
5.
Tambua mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika hadithi hii. (alama 2)
Taja funzo moja linalojitokeza katika hadithi hii. (alama 1)
6.
Sama ya nopela kistq Kiibu mqswali.
Katika Karia ya Jikaze. Alizaliwa msichana mmoja kwajina Amani. Binti huyu alikuwa na ndoto ya
kuwa mchoraji maarufu. Siku moja alipopokea waraka kutoka kwa mchoraji maarufu, alijua kuwa ndoto
yake ilikuwa karibu inatimia. Jambo hili lisingepatikana kwa wepesi kwa kuwa kulikuwa na changamoto ya
kupambana na migogoro katika familia yake.
Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia
sanaa ya uchoraji kama mzaha tu.
Answer
Hurafa huwa na wahusika wanyama, huwa na sifa za kibinadamu, huwa na funzo na huwa na ploti sahili. Wahusika ni mjusi, fisi, kobe na papa. Kobe aliinuliwa na kutupwa chini. Tanakali ya sauti ni 'kuanguka chini pu!' na tashbihi ni 'paa kama tiara'. Usiwadhulumu wenzako.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia sanaa ya uchoraji kama…Question 3
- Mabula: Si utani mwenzangu. (Kimya) Baada.ya kufikiria sana nimeona kuwa lisilo budi hutendwa. Heri nikusaidie…Question 4
- Soma $hairi lifuatalo Kisha Kiibu mgswgli Uchomaji wa makaa, huharibu mazingira, Husababisha mitaa, ikakumbwa…Question 5
- KARATASI YA PILI GREDI 9 - 2026 Muda: Saa 1 Dakika 45 JINALA NAMBARI YA MTAHINIWA MTAHINIWA JINA LA SHULE NAMBARI YA…Question 1