CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 1 Kiswahili Karatasi 2
Test 96 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 2 · Revision 1 Kiswahili Karatasi 2 · 5 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 5 questions with answers
- Question 1: KARATASI YA PILI GREDI 9 - 2026 Muda: Saa 1 Dakika 45 JINALA NAMBARI YA MTAHINIWA MTAHINIWA JINA LA SHULE NAMBARI YA YAKO SHULE SAHIHIYA…Answer: S.L.P. 148, Kisumu. 20 Juni 2026. Rafiki yangu Amani, Hujambo? Natumaini kuwa wewe na familia yako hamjambo.…
- Question 2: A FASIHI 10) $omq åqdithi ruqtqyQ Kishq rtqswqli. Hapo zamani za kale, mjusi ndiye aliyekuwa mnyama mkubwa kuliko wote. Kimo chake…Answer: Hurafa huwa na wahusika wanyama, huwa na sifa za kibinadamu, huwa na funzo na huwa na ploti sahili. Wahusika…
- Question 3: Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia sanaa ya uchoraji kama mzaha tu. Amani…Answer: Kisa kinatokea shuleni. Novela huwa fupi, wahusika huwa wachache, maudhui ni machache na ploti ni sahili.…
- Question 4: Mabula: Si utani mwenzangu. (Kimya) Baada.ya kufikiria sana nimeona kuwa lisilo budi hutendwa. Heri nikusaidie kukitafuta hicho kidogo.…Answer: Tamthilia ni kipera cha fasihi andishi chenye muundo wa mazungumzo. Ni maskini mtaamushi. Wahusika ni Mishi,…
- Question 5: Soma $hairi lifuatalo Kisha Kiibu mgswgli Uchomaji wa makaa, huharibu mazingira, Husababisha mitaa, ikakumbwa namadhara, Yakang' olewa…Answer: Shairi ni la tarbia kwa kuwa lina mishororo minne katika kila ubeti. Vina ni -li na -nga. Ujumbe ni…