CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 3
Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia sanaa ya uchoraji kama mzaha tu. Amani hakuenda nguu ila…
From Test 96 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi
Amani alijifunga kibwebwe licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wazazi na walimu waliochukulia
sanaa ya uchoraji kama mzaha tu.
Amani hakuenda nguu ila alijikaza ksabuni ili ndoto yake isife. Alielewa fika kuwa mtaka cha mvtmguni
sharti ainame. Siku zilipita na baadaye akajipata akishiriki katika mashindano ya uchoraji.
Katika mashindano yale, walikuwa wachoraji tajika waliokuwa na uzoefu na mbinu zilizobobea.
Alijiambia kimoyomoyo kuwa huo ulikuwa wakati wake wa kuthibitisha kuwa ana talanta.
Amani alifanikwakubukamshindi. Jambo hili liliwaacha wengi vinywa wazi. Wavyele wake hawakuwa
najingine ila kumuunga mkono.
Mandhari ni mojawapo ya kipengele katika kazi ya fasihi. Tambua aina mbili za mandhari katika
7.
sehemu hii ya novela. (alama 2)
8.
Kwa kurejelea sehemu hii ya novela. Andika sifa tatu za novela. (alama 3)
Changamoto haziwezi kuzuia ufanisi. Thibitisha kauli hii ukirejelea sehemu hii ya novela. (alama 2)
10. Elezambinu mbili za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii yanovela. (alama2)
11• AmaninimhusikamkUUkatikasehemuhiiyanovela. Tambua sifamojayaAmani. (alama 1)
ZOEZI LA 10
Somq se.hemu ruqtRVQ yq tqmthiliq &i$hq mqswqli
SEHEMUIH
Onyesho ii
(Baadaya Wiki moja. Jioni nyumbani kwake Mabula. Mabula ameketi kwenye sofa kuukuu. Amevalia
shatijeusi na suruali ndefu ya kijivu isiyokunjwa miguuni. Anaonekana mwenye mawazo)
Mabula:
Mishi!
Mishi:
Abee! (Baada ya muda anatokeza)
Mabula:
Niandaliejembe. Kesho ninataka kwenda nawe shambani.
Mishi:
(Anacheka) Eti nini?
Mabula:
Si utani mwenzangu. (Kimya) Baada.ya kufikiria sana nimeona kuwa lisilo budi hutendwa.
Answer
Kisa kinatokea shuleni. Novela huwa fupi, wahusika huwa wachache, maudhui ni machache na ploti ni sahili. Amani ni mfaulu licha ya changamoto na pingamizi. Methali inayofaa ni 'Nahae jifunga kibwebwe'. Ana bidii, uvumilivu na msimamo dhabiti.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mabula: Si utani mwenzangu. (Kimya) Baada.ya kufikiria sana nimeona kuwa lisilo budi hutendwa. Heri nikusaidie…Question 4
- Soma $hairi lifuatalo Kisha Kiibu mgswgli Uchomaji wa makaa, huharibu mazingira, Husababisha mitaa, ikakumbwa…Question 5
- KARATASI YA PILI GREDI 9 - 2026 Muda: Saa 1 Dakika 45 JINALA NAMBARI YA MTAHINIWA MTAHINIWA JINA LA SHULE NAMBARI YA…Question 1
- A FASIHI 10) $omq åqdithi ruqtqyQ Kishq rtqswqli. Hapo zamani za kale, mjusi ndiye aliyekuwa mnyama mkubwa kuliko…Question 2