CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 5
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali Twashukuru na Jaladi, mkuu mwenye kibali, Asante kwa kutujali, kwa afya pia na mwili, Mabaya hayajajili, mamayo kama…
From Test 93 — Kiswahili Karatasi 2 Muhula 2 Mei 2026 · 5 marks · Topic: Fasihi, Ushairi
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali
Twashukuru na Jaladi, mkuu mwenye kibali,
Asante kwa kutujali, kwa afya pia na mwili,
Mabaya hayajajili, mamayo kama asali,
Maskini tungewaje, lau ingeuzwa hewa!
Wangehifadhi tajiri, waiuze kwa kiburi,
Wawape wenza wazuri, tubaki bila habari,
Kwao iwe ni fahari, wadai tucheze tari,
Maskini tungewaje, lau ingeuzwa hewa!
Ngefaidi wanawali, hata wapate ajali,
Waumie na hamali, kwa kuyakosa na mali,
Fukara tulie tuli, wasiirine asali,
Maskini tungewaje, lau ingeuzwa hewa!
(a) Shairi hili ni la aina gani? Eleza. (Alama 1)
(b) Fafanua sifa mbili zinazoonyesha kuwa utungo huu ni shairi. (Alama 2)
(c) Taja mhusika mmoja katika shairi hili. (Alama 1)
(d) Shairi hili linazungumzia nini? (Alama 1)
Answer
(a) Aina ya shairi: Shairi la sifa / shairi la shukrani. (b) Sifa za shairi: i. Tena ina beti zilizo na mpangilio wa maneno. ii. Inatumia tashbihi, kurudia maneno, na mizani ya kishairi. (c) Mhusika mmoja: Jaladi / mkuu. (d) Shairi linazungumzia: Shukrani, ukarimu, na hali ya maisha kwa matajiri na maskini.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika insha kwa kuendeleza mwanzo ufuatao: Endeleza kisa hiki hadi kukamilika. Nilipofika nyumbani siku hiyo jioni,…Question 1
- Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali. Nyani na Sokwe walikuwa wafugaji hodari. Mazizi yao yalishiba na kutapika…Question 2
- Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali Zarika alikuwa mezani akifanya Hisabati. Alionekana akilaani huku akidai…Question 3
- Soma hadithi hii kisha ujibu maswali. SEHEMU 1: ONYESHO 1I (Soiyan, binti wa miaka kumi na mmoja, anamsaidia mama yake…Question 4