CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026: Kiswahili Karatasi 2 Muhula 2 Mei 2026
Test 93 — Kiswahili Karatasi 2 Muhula 2 Mei 2026 · Kiswahili Karatasi 2 Muhula 2 Mei 2026 · 5 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 5 questions with answers
- Question 1: Andika insha kwa kuendeleza mwanzo ufuatao: Endeleza kisa hiki hadi kukamilika. Nilipofika nyumbani siku hiyo jioni, niligundua jambo…Answer: Nilipofika nyumbani siku hiyo jioni, niligundua jambo lisilo la kawaida. Mlango ulikuwa wazi na nyumba…
- Question 2: Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali. Nyani na Sokwe walikuwa wafugaji hodari. Mazizi yao yalishiba na kutapika mifugo ambao…Answer: (a) Aina ya hadithi: Hadithi ya wanyama / Fable. (b) Sifa tatu za hadithi ya aina hii: i. Inatumia wanyama…
- Question 3: Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali Zarika alikuwa mezani akifanya Hisabati. Alionekana akilaani huku akidai kuwa Mwalimu Kombo…Answer: (a) Mazingi yanayojitokeza: Nyumba / mazingira ya nyumbani. Shule / mawasiliano ya kijamii. (b) Masuala…
- Question 4: Soma hadithi hii kisha ujibu maswali. SEHEMU 1: ONYESHO 1I (Soiyan, binti wa miaka kumi na mmoja, anamsaidia mama yake katika shughuli za…Answer: (a) Sifa mbili za tamthilia: i. Onyesho la mazungumzo kati ya wahusika. ii. Inaelezea mgogoro au changamoto…
- Question 5: Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali Twashukuru na Jaladi, mkuu mwenye kibali, Asante kwa kutujali, kwa afya pia na mwili, Mabaya…Answer: (a) Aina ya shairi: Shairi la sifa / shairi la shukrani. (b) Sifa za shairi: i. Tena ina beti zilizo na…