naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 35

Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wamesoma kitabu hicho ni:

From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu A, Sarufi na Msamiati

Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wamesoma kitabu hicho ni:

  1. AWanafunzi hawatasoma kitabu hicho.
  2. BWanafunzi hawakusoma kitabu hicho.
  3. CWanafunzi hawangesoma kitabu hicho.
  4. DWanafunzi hawajasoma kitabu hicho.

Answer

D. Wanafunzi hawajasoma kitabu hicho.

Jibu sahihi: Wanafunzi hawajasoma kitabu hicho..

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test