CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 41
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashbihi.
From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu A, Sarufi na Msamiati
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashbihi.
- AMwalimu wetu ni simba darasani.
- BYeye ni mwerevu kama mbweha.
- CUkimwi ni janga linalotesa ulimwengu.
- DKilio chake kilifufua wafu.
Answer
B. Yeye ni mwerevu kama mbweha.
Jibu sahihi: Yeye ni mwerevu kama mbweha..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: haba, tabasamu.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya wingi?Question 43
- Mwenzako anaogopa kusema ukweli ingawa anaujua. Chagua methali utakayomshauri kuitumia.Question 44
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kutumia kiwakilishi sahihi cha a-unganifu: Mtoto __ alikuwa akilia ametulia sasa.Question 45
- Chagua jibu lenye neno ambalo si nomino.Question 46
- Sentensi ipi imetumia kiambishi cha wakati uliopo?Question 47