CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 36
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Gari ___ lipakiwa vizuri.
From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu A, Sarufi na Msamiati
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Gari ___ lipakiwa vizuri.
- Aya
- Bza
- Cla
- Dpa
Answer
C. la
Jibu sahihi: la.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi halisi wa: Mariam alimwambia Musa kwamba alikuwa amemaliza kazi yake.Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Ali alimchongea mdogo wake penseli, inamaanisha Ali alichonga penseli ili mdogo wake atumie. Chagua jibu…Question 40
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashbihi.Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: haba, tabasamu.Question 42