CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 38
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu A, Sarufi na Msamiati
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
- AWatoto wawili walicheza nje.
- BNyumba kubwa ilijengwa kijijini.
- CViatu vyake vimeibiwa.
- DMzee yule ni mgonjwa.
Answer
B. Nyumba kubwa ilijengwa kijijini.
Jibu sahihi: Nyumba kubwa ilijengwa kijijini..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Ali alimchongea mdogo wake penseli, inamaanisha Ali alichonga penseli ili mdogo wake atumie. Chagua jibu…Question 40
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashbihi.Question 41
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: haba, tabasamu.Question 42
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya wingi?Question 43
- Mwenzako anaogopa kusema ukweli ingawa anaujua. Chagua methali utakayomshauri kuitumia.Question 44