CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 34
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo, ukifuata mfano wa fupi ↔ refu (maneno yenye maana kinyume): fupi ↔ refu, laini ↔ ___
From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu A, Sarufi na Msamiati
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo, ukifuata mfano wa fupi ↔ refu (maneno yenye maana kinyume): fupi ↔ refu, laini ↔ ______
- Akavu
- Bimara
- Cgumu
- Dnyepesi
Answer
C. gumu
Jibu sahihi: gumu.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wamesoma kitabu hicho ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Gari ___ lipakiwa vizuri.Question 36
- Chagua usemi halisi wa: Mariam alimwambia Musa kwamba alikuwa amemaliza kazi yake.Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39
- Sentensi, Ali alimchongea mdogo wake penseli, inamaanisha Ali alichonga penseli ili mdogo wake atumie. Chagua jibu…Question 40