CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 33
Nomino, meza, iko katika ngeli ya I-ZI. Nomino, ugali, iko katika ngeli gani?
From Test 108 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Juni 2025) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Nomino, meza, iko katika ngeli ya I-ZI. Nomino, ugali, iko katika ngeli gani?
- AU-YA
- BU-I
- CI-ZI
- DI-I
Answer
A. U-YA
Jibu sahihi: U-YA.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo, ukifuata mfano wa fupi ↔ refu (maneno yenye maana kinyume):…Question 34
- Ukanusho wa sentensi, Wanafunzi wamesoma kitabu hicho ni:Question 35
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Gari ___ lipakiwa vizuri.Question 36
- Chagua usemi halisi wa: Mariam alimwambia Musa kwamba alikuwa amemaliza kazi yake.Question 37
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 38
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 39