CBC Grade 8 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) (Test 6)
Kiswahili — End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · End of Term 2 Assessment 2026 (Set 9) · 14 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 14 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA A: KUANDIKA (alama 15) Andika barua kwa taasisi ya elimu ukiomba msaada wa vitabu vya ziada kwa shule yenu.Answer: Shule ya Msingi na Sekondari Msingi Bora, S.L.P. 120, MACHAKOS. 10 Juni 2026. Mkurugenzi, Taasisi ya Elimu…
- Question 2: (a) Hadithi hii ni mfano wa hurafa. Eleza sababu mbili zinazoonyesha hivyo. (Alama 2)Answer: Wahusika ni wanyama (kobe, simba) wanaozungumza na kutenda kama binadamu, na inatoa funzo kuhusu kiburi.
- Question 3: (b) Eleza ujumbe mmoja unaopatikana katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Kiburi na majivuno huleta aibu na hasara.
- Question 4: (c) Taja na ueleze kipengele kimoja cha uwasilishaji kilichotumika katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Mazungumzo (dayalojia): kobe na simba wanazungumzana, k.m. "Twende, tutakutana uwanjani."
- Question 5: (d) Tofautisha kati ya hadithi ya hurafa na ya hekaya (Alama 6)Answer: 1. Hurafa: wahusika ni wanyama tu – Hekaya: mhusika mkuu ni mjanja, binadamu au mnyama (k.m. Abunuwasi,…
- Question 6: (e) Taja sifa tatu za hadithi za hekaya (Alama 3)Answer: Mhusika mkuu ni mjanja; humshinda mwenye nguvu au mamlaka kwa akili; huchekesha.
- Question 7: (a) Andika anwani mwafaka kwa Novela hii. (Alama 1)Answer: Mbegu ya Mabadiliko
- Question 8: (b) Taja mhusika mkuu katika Novela hii. (Alama 1)Answer: Baraka
- Question 9: (c) Tambua na ueleze sifa nne za mhusika mkuu. (Alama 8)Answer: Mhamasishaji – aliwahimiza vijana kubadilika kwa matendo. Mkarimu – alitoa mafunzo ya bure. Mvumilivu –…
- Question 10: (a) Taja wahusika wawili katika tamthilia hili na ueleze uhusiano wao wa kifamilia. (Alama 2)Answer: Amani na Juma; ni mume na mke (wazazi wa watoto).
- Question 11: (b) Eleza jambo ambalo Amani anazungumzia kwa msisitizo katika mazungumzo haya. (Alama 2)Answer: Umuhimu wa kudumisha usafi wa nyumba ili kuepuka magonjwa.
- Question 12: (c) Jadili sifa mbili za Amani kama zinavyoonekana katika mazungumzo haya. (Alama 2)Answer: Mwenye busara – anashauri kwa upole; mshauri mzuri – anapendekeza ratiba na kushirikisha watoto.
- Question 13: (d) Eleza wazo moja kuu unalojifunza kutokana na tamthilia hili. (Alama 2)Answer: Usafi ni wajibu wa familia nzima na ni msingi wa afya na heshima.
- Question 14: (e) Kwa maoni yako, kwa nini Juma anasema: “Nitajitahidi kuleta mabadiliko hayo, Amani”? (Alama 2)Answer: Kwa sababu ameelewa umuhimu wa usafi kutokana na ushauri wa Amani na anataka familia yake iwe na afya.