CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 4) (Test 27)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · Revision 2026 (Booklet 4) · 15 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 15 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA A: KUANDIKA (Alama 20) Andika insha ya kusisimua kuhusu: ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUUAnswer: ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU Wahenga walisema kwamba asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Methali hii…
- Question 2: a) Taja wahusika wawili katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Kuku na mwewe.
- Question 3: b) Taja mandhari mbili ambayo imejitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Answer: Porini na kijijini.
- Question 4: c) Ni maudhui yapi yanajitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Answer: Urafiki na uaminifu (kutotimiza ahadi huleta uadui).
- Question 5: d) Taja mafunzo mawili tunayopata kutoka kisa hiki. (Alama 2)Answer: Tuwe waaminifu kwa wengine, na turejeshe vitu tulivyokopa.
- Question 6: e) Ni methali gani mbili inaweza tumika kama kichwa cha kisa hiki? (Alama 2)Answer: Ahadi ni deni; mwizi hana rafiki.
- Question 7: 3 a) Taja wahusika watatu katika dondoo hili. (Alama 3)Answer: Mzee Musambale, Kadurenge na Deno.
- Question 8: b) Taja na uthibitishe mbinu mbili za uandishi ambazo zimetumika katika dondoo hili. (Alama 4)Answer: Methali: "mtoto wa nyoka ni nyoka"; maswali ya balagha: "Kwa nini aliingia katika harakati kama hizo?"
- Question 9: c) Taja dhiki tatu alizopitia mwandishi wa dondoo hili kulingana na makala haya. (Alama 3)Answer: Kuishi kambini kwa chakula cha mgao, kutengwa na wenzake (kuitwa muaji), na kukosa mama.
- Question 10: a) Malenga wa shairi hili ni nani? (Alama 1)Answer: Abel Okenye.
- Question 11: b) Shairi hili ni la aina gani? Thibitisha (Alama 2)Answer: Tarbia: lina mishororo minne kila ubeti.
- Question 12: c) Andika kibwagizo cha shairi hili. (Alama 1)Answer: "Heshima u wapi nawe, jamani rudi mwandani!"
- Question 13: d) Je, mloto wa ubeti wa pili una mizani ngapi? (Alama 2)Answer: Kumi na sita (16).
- Question 14: e) Andika vina vya ubeti wa kwanza. (Alama 2)Answer: Vina vya kati -ma, vina vya mwisho -ni.
- Question 15: f) Kutoweka kwa heshima kumesababisha nini kulingana na ubeti wa kwanza? (Alama 2)Answer: Dunia kutokuwa salama, na hali ya binadamu kutokuwa njema.