CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13
d) Je, mloto wa ubeti wa pili una mizani ngapi? (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ushairi
SEHEMU C: USHAIRI (ALAMA 10)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali
Heshima na mwalimu - Abel Okenye
Heshima ewe heshima, ninakuita jamani,
Dunia siyo salama, wapi ulikwenda kwani?
Hali yetu siyo njema, uliko u hali gani?
Heshima u wapi nawe, jamani rudi mwandani!
Punde ulipotweka, nikawa na wasiwasi,
Hali kawa hekaheka, kila siku sarakasi,
Vita navyo vikashika, jamani rudi rivasi,
Heshima u wapi nawe, jamani rudi mwandani!
d) Je, mloto wa ubeti wa pili una mizani ngapi? (Alama 2)
Answer
Kumi na sita (16).
Hesabu silabi za mshororo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- e) Andika vina vya ubeti wa kwanza. (Alama 2)Question 14
- f) Kutoweka kwa heshima kumesababisha nini kulingana na ubeti wa kwanza? (Alama 2)Question 15
- SEHEMU YA A: KUANDIKA (Alama 20) Andika insha ya kusisimua kuhusu: ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUUQuestion 1
- a) Taja wahusika wawili katika hadithi hii. (Alama 2)Question 2
- b) Taja mandhari mbili ambayo imejitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Question 3
- c) Ni maudhui yapi yanajitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Question 4