CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
e) Andika vina vya ubeti wa kwanza. (Alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ushairi
SEHEMU C: USHAIRI (ALAMA 10)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali
Heshima na mwalimu - Abel Okenye
Heshima ewe heshima, ninakuita jamani,
Dunia siyo salama, wapi ulikwenda kwani?
Hali yetu siyo njema, uliko u hali gani?
Heshima u wapi nawe, jamani rudi mwandani!
Punde ulipotweka, nikawa na wasiwasi,
Hali kawa hekaheka, kila siku sarakasi,
Vita navyo vikashika, jamani rudi rivasi,
Heshima u wapi nawe, jamani rudi mwandani!
e) Andika vina vya ubeti wa kwanza. (Alama 2)
Answer
Vina vya kati -ma, vina vya mwisho -ni.
Angalia silabi za mwisho za kila kipande.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- f) Kutoweka kwa heshima kumesababisha nini kulingana na ubeti wa kwanza? (Alama 2)Question 15
- SEHEMU YA A: KUANDIKA (Alama 20) Andika insha ya kusisimua kuhusu: ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUUQuestion 1
- a) Taja wahusika wawili katika hadithi hii. (Alama 2)Question 2
- b) Taja mandhari mbili ambayo imejitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Question 3
- c) Ni maudhui yapi yanajitokeza katika kisa hiki? (Alama 2)Question 4
- d) Taja mafunzo mawili tunayopata kutoka kisa hiki. (Alama 2)Question 5