CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 6 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · Revision Paper 6 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kwa nini Bi. Nia alisisitiza mavazi safi na yenye staha shuleni?Answer: B. Ili kuonyesha nidhamu na heshima.
- Question 2: Kutokana na mazungumzo ni sifa ipi ya mwanafunzi ilidhihirika zaidi kwa Maria?Answer: B. Nidhamu ya kutaka kujua kilicho sahihi.
- Question 3: Maria aliuliza kuhusu umuhimu wa ___Answer: C. viatu
- Question 4: Kutokana na mazungumzo, kuna uhusiano upi kati ya mwalimu na mwanafunzi?Answer: B. Uhusiano wa heshima na mafunzo.
- Question 5: Kwanini Maria alihitimisha mazungumzo kwa kusema "kwaheri" badala ya kuondoka kimya kimya?Answer: B. Ili kuonyesha heshima na adabu.
- Question 6: Bendera ya Kenya ilipitishwa rasmi mwaka waAnswer: B. 1963
- Question 7: Rangi nyekundu kwenye bendera ya Kenya inawakilisha nini?Answer: C. Damu ya mashujaa waliopigania uhuru.
- Question 8: Bendera ya Kenya ina rangi ngapi kwa jumla?Answer: D. Nne
- Question 9: Rangi ya kijani kwenye bendera inawakilisha nini?Answer: B. Ardhi yenye rutuba.
- Question 10: Miembe hutupatia matunda gani?Answer: B. Embe
- Question 11: Michungwa ni muhimu kwa sababu gani?Answer: B. Huongeza kinga ya mwili kwa vitamini C.
- Question 12: Ndizi zina madini gani muhimu kwa misuli na moyo?Answer: B. Potasiamu
- Question 13: Ni somo gani ndovu alifundisha?Answer: C. Busara na hekima
- Question 14: Nyani walicheza kwa furaha pamoja. Ni funzo gani hili linatoa kwa maisha ya binadamu?Answer: B. Ushirikiano na urafiki huleta furaha.
- Question 15: Unajifunza nini kutokana na hadithi hii?Answer: C. Ushirikiano huleta mshikamano na furaha.
- Question 16: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 16.Answer: A. Sebule
- Question 17: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 17.Answer: C. wao
- Question 18: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 18.Answer: B. kwa sababu
- Question 19: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 19.Answer: B. chakula
- Question 20: Chagua jibu sahihi la nafasi ya 20.Answer: B. Ambazo
- Question 21: Jibu swali la 21 hadi 30 kwa kufuata maagizo uliyopewa. Jibu la alamsiki niAnswer: C. Binuru
- Question 22: Ni mnyama yupi hupatikana nyumbani?Answer: D. Kuku
- Question 23: Kinyume cha cheka niAnswer: B. lia
- Question 24: Tegua kitendawili Atolewapo nje hufa___Answer: B. samaki
- Question 25: Kamilisha sentensi ifuatayo Fatuma ameketi ___ ya mti.Answer: B. chini ya
- Question 26: Andika katika wingi. Mimi ninasoma hadithi.Answer: B. Sisi tunasoma hadithi.
- Question 27: Tumia kihisishi sahihi kujaza pengo. ___! Ningetia bidii ningefaulu.Answer: B. Ole wangu!
- Question 28: Alama ifuatayo huitwaje? !Answer: C. Alama hisi
- Question 29: Kipi ni kitenzi?Answer: A. Cheza
- Question 30: Ni vazi lipi huvaliwa kuenda shuleni?Answer: B. Sare