CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Andika katika wingi. Mimi ninasoma hadithi.
From Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Andika katika wingi.
Mimi ninasoma hadithi.
- AWao wanasoma hadithi.
- BSisi tunasoma hadithi.
- CNyinyi mnasoma hadithi.
- DSisi tunasoma mahadithi.
Answer
B. Sisi tunasoma hadithi.
Wingi wa "mimi" ni "sisi", na "ninasoma" inakuwa "tunasoma". "Hadithi" haibadiliki katika wingi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tumia kihisishi sahihi kujaza pengo. ___! Ningetia bidii ningefaulu.Question 27
- Alama ifuatayo huitwaje? !Question 28
- Kipi ni kitenzi?Question 29
- Ni vazi lipi huvaliwa kuenda shuleni?Question 30
- Kwa nini Bi. Nia alisisitiza mavazi safi na yenye staha shuleni?Question 1
- Kutokana na mazungumzo ni sifa ipi ya mwanafunzi ilidhihirika zaidi kwa Maria?Question 2