naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28

Alama ifuatayo huitwaje? !

From Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Alama ifuatayo huitwaje?

!

  1. AKiulizi
  2. BKoma
  3. CAlama hisi
  4. DKikomo

Answer

C. Alama hisi

Alama "!" huitwa alama hisi (alama ya mshangao); hutumika baada ya kihisishi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test