CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 44
Chakula kimepik___.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
44. Chakula kimepik______.
- A–wa
- B–a
- C–lia
- D–ana
Answer
A. –wa
Chakula hakipiki, bali kinapikwa: kiishio -wa cha kauli ya kutendwa kinatoa "Chakula kimepikwa".