CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 49
Wingi wa sentensi: Mto una maji.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
49. Wingi wa sentensi: Mto una maji.
- AMito una maji.
- BMito ina maji.
- CMito zina maji.
- DMto zina maji.
Answer
B. Mito ina maji.
Mto uko katika ngeli ya U-I: mto una → mito ina.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Neno maisha lina silabi ngapi?Question 50
- Kifungu kinasisitiza umuhimu wa nini?Question 1
- Mojawapo ya athari za uharibifu wa mazingira ni:Question 2
- Neno tabianchi lina maana sawa na:Question 3
- Ni hatua ipi miongoni mwa hizi husaidia kulinda mazingira?Question 4
- Kulingana na kifungu, bila ushirikiano wa kila mtu juhudi za kulinda mazingira:Question 5