CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 47
Jozi ipi ina maana tofauti kabisa?
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
47. Jozi ipi ina maana tofauti kabisa?
- ANuru – Giza
- BFuraha – Shangwe
- CBaridi – Jalidi
- DHeshima – Adabu
Answer
A. Nuru – Giza
Nuru ni mwanga na giza ni ukosefu wa mwanga: ni vinyume. Jozi nyingine ni maneno yenye maana zinazokaribiana.