CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 43
Aina ya neno Huyu katika sentensi ifuatayo ni: Huyu mtoto ana akili nyingi.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
43. Aina ya neno Huyu katika sentensi ifuatayo ni:
Huyu mtoto ana akili nyingi.
- AKivumishi cha idadi
- BKivumishi cha kuonyesha
- CKivumishi cha sifa
- DKivumishi cha kumiliki
Answer
B. Kivumishi cha kuonyesha
"Huyu" inaonyesha mtoto aliye karibu: ni kivumishi cha kuonyesha.